Uhalisia wa riwaya hii umeangaziwa wazi kupitia kwa wahusika kama vile Adela, Daktari Chumba na Mchungaji Kombo. Vilevile, maudhui mengine yameshughulikiwa kwa mfano: elimu, umaskini, wizi, siasa, ubaguzi wa rangi pamoja na tanzia.
Hatima Yangu ni tunu kwa wapenzi wote wa Fasihi na wale wanaoinukuia kuwa wasomi.
Reviews
There are no reviews yet.