Jamii zetu zimesisimua mchipuko wa mikondo ainati inayojenga au kubomoa. Mkusanyiko wa mashairi katika diwani ya “Mashairi Maangavu” imeyamulika kwa madhumuni ya kukuza utangamano kwa vizazi vyote. Maswala ibuka yamechipuzwa sawia na mitazamo ya kifasihi kuihusu. Mitazamo hii ni sehemu ya madhumuni ya fasihi sambamba na uhitaji wa maadili muhimu.
Toleo hili litawafaa wachambuzi wote wa fasihi wakiwemo wanafunzi wa shule za upili na vyuo vya kadri.
Reviews
There are no reviews yet.